Rais Biden kushiriki kumbukumbu ya mauaji ya Tulsa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden atahudhuria Jumanne kumbukumbu ya mauaji ya watu walio wengi Juni 1, 1921, huko Tulsa, Oklahoma.