Rais Biden kujadili mkakati wa miundombinu na wabunge

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden atakutana na kundi la wabunge kwa pande zote mbili wiki hii kujadili mpango wake wa ufadhili kuboresha miundombinu mbalimbali nchini Marekani.