Rais Biden kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden apanga kutoa hotuba yake ya kwanza katika kikao cha pamoja cha bunge wiki hii.
- Wapiganaji wa Somalia wachukua baadhi ya maeneo katika mji mkuu Mogadishu siku moja baada ya mapigano kuzuka baina yao na vikosi vya serikali.

- Kampuni kubwa ya mafuta ya Ufaransa Total imesitisha operesheni zake katika eneo kubwa la uchimbaji wa mafuta kaskazini mwa Msumbiji.