Rais Biden azuru kumbukumbu ya mauaji ya watu weusi 300 Tulsa

Your browser doesn’t support HTML5

Washington Bureau inaangaza wiki hii ziara ya rais Biden Tulsa Oklahoma kwenye makumbusho ya mauaji ya watu weusi 300 mwaka 1921.