Rais Biden awapa matumaini Wamarekani dhidi ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Akizungumza kutoka White House Rais wa Marekani Joe Biden amekiri Wamarekani wamechoka na kufadhaishwa na COVID-19. akieleza kuwa ugonjwa huo ni adui mwenye nguvu, "lakini sisi tuna nguvu zaidi..."