Rais Biden awahamasisha waliopata chanjo kamili kukutana na familia zao

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden awashauri raia wa Wamarekani waliokamilisha kupata chanjo ya COVID-19 hawapaswi kubadili mipango yao yakukutana ana kwa ana na familia zao katika msimu wa sikukuu.