Rais Biden atoa motisha kwa watu watakaojitokeza kuchanjwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati idadi ya watu milioni 170 nchini Marekani wakiwa wameshapatiwa chanjo hali ya maisha imeanza kurejea kuwa ya kawaida huku Rais Biden akitoa motisha kuhamasisha watu kushiriki kupatiwa chanjo.