Rais Biden atangaza kupeleka msaada wa dharura Texas
Your browser doesn’t support HTML5
Idara ya taifa ya hali ya hewa, NWS, yatangaza mamia ya rekodi za kiwango cha chini ya hali ya hewa zimevunjwa katika miji kadhaa isiyozoea kupata theluji ikiwemo Texas.