Duniani Leo : Feb 26 : Biden asheherekea mafanikio ya utoaji chanjo Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden Alhamisi asheherekea juhudi za utawala wake za mafanikio ya kupatikana dozi milioni 50 za chanjo iliyogawiwa nchini Marekani tangu aingie madarakani.