Rais Biden asaini mswaada wa Miundombinu wa dola trilioni 1
Your browser doesn’t support HTML5
Mapema wiki hii Rais wa Marekani Joe Biden hatimaye amesaini kuwa sheria mswaada wa miundombinu wa dola trilioni 1 za Marekani baada ya miezi kadhaa ya kuchelewa kupitishwa.