Rais Biden asaini mswaada wa dola bilioni 95 kwa ajili ya Ukraine, Israel na Taiwan

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswaada wa dola za Marekani bilioni 95 kwa Ukraine, Israel na Taiwan baada ya kupitishwa na Baraza la Seneti Jumanne usiku.

Kukosekana usimamizi wa fedha za umma uliothibiti ni mmoja ya changamoto kubwa unaokabili mataifa mengi barani Afrika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari