Rais Biden apongeza jitihada za maseneta kuhusu udhibiti wa bunduki
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Biden alipongeza kundi la Maseneta lililoongozwa na Chris Murphy kwa mapendekezo yake ya hatua mpya ya kudhibiti bunduki, ingawa alikiri hayakidhi kile kinachotakiwa hasa kufanyika.