Rais Biden ajikita kushughulikia COVID-19 siku ya kwanza ofisini
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden ametumia siku nzima jana Alhamisi kusaini amri za kiutendaji kushughulikia tatizo la janga la corona lililoathiri Marekani kuliko nchi yoyote nyingine duniani.