Rais Biden ahutubia Bunge la Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden jana alihutubia, akitoa hali ya kitaifa, anatarajiwa kuangalia hali ya vita ya Ukraine. Sikiliza matarajio ya Wamarekani kutoka katika hotuba ya Hali ya Kitaifa. Endelea kusikiliza...