Rais Biden aendelea kubadili sera za utawala wa Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani aendelea na mipango ya kubadili sera na sheria zilizowekwa na utawala wa Donald Trump.
- Ripoti ya Kijasusi ya Marekani yagundua Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia aliidhinisha mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Kashoggi

- Aliyekuwa Balozi wa Italia nchini DRC azikwa leo.