Rais Biden aeleza ushirikiano wa Marekani na Afrika utajikita katika uchumi, demokrasia na maendeleo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden atoa mtazamo wake kuhusu Marekani kushirikiana na Bara la Afrika katika mambo mbalimbali yatakayo wezesha ukuaji wa uchumi, demokrasia na maendeleo katika miaka ijayo.

Safari ya kuelekea fainali ya Kombe la Dunia kwa wawakilishi wa Afrika Morocco yaishia mikononi mwa Ufaransa...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari