Rais Biden aeleza umuhimu wa kuzuia ongezeko la joto duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani asisitiza ni lazima tujaribu kuzuia joto la dunia kuongezeka kufikia nyuzi 1.5 Celsius ili kuepusha majanga mbalimbali ikiwemo moto, mafuriko, ukame, joto jingi, vimbunga na ukame