Rais aongoza kumbukumbu ya uvamizi wa Bunge la Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Joe Biden aongoza kumbukumbu ya uvamizi katika majengo ya Bunge Marekani, yaliyofanywa na wafuasi wa Rais wa zamani Donald Trump.
China yatangaza itamtuma mjumbe maalum Pembe ya Afrika kwa ajili ya amani na uwekezaji.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari