Rais aeleza Marekani ilivyoungana kukabili janga la Corona

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amelihutubia taifa Alhamisi akisisitiza wananchi kushirikiana katika kutokomeza janga la virusi vya Corona.