Raia wa Uingereza akutwa na hatia kesi ya mauaji ya Wamarekani Syria

Your browser doesn’t support HTML5

Kesi ya Wamarekani waliotekwa na kuuwawa nchini Syria yamalizika Marekani kwa mahakama ya Virginia nchini Marekaani kutoa haki kwa familia zao, na raia wa Uingereza kukutikana na hatia kwa kuhusika na uhalifu huo.