Raia wa DRC waliokimbia vita wameanza kurejea

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wanaoishi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliokuwa wamekimbilia Uganda baada ya waasi wa M23 kuvamia maeneo yao wameanza kurejea makwao.

- Waumini wa dini ya Kiislam duniani wajiandaa kuanza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari