Raia wa Afghanistan wapewa hifadhi ya muda Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Ndege iliyokuwa imewabeba raia wa Afghanistan ambao wameondolewa nchini humo baada ya wapiganaji wa Taliban kudhibiti utawala wa nchi hiyo imewasili nchini Uganda ambapo watu hao watapewa hifadhi ya muda.