Raia wa Afghanistan 51 wapokelewa Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Uganda yapokea watu 51 waliohamishwa kutoka Afghanistan baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa nchi.
- Wananchi wa DRC watoa maoni tofauti baada ya serikali kuongeza muda kwa Jeshi la nchi hiyo kudhibiti maeneo yenye mizozo

- ​Makamu wa Rais wa Marekani Harris aitaka jumuiya ya kimataifa kuishinikiza China kuacha uonevu.

- Tanzania yaendelea na uchunguzi baada ya mtu mwenye silaha kuwashambulia polisi kwa bastola na kuwanyang'anya silaha mjini Dar es Salaam.