Radi yaua watu 60 maeneo mbalimbali India

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa serikali ya India wanasema karibu watu 60 wamefariki kutokana na radi katika jimbo la Kaskazini magharibi la Rajasthani na Uttar Pradesh, 11 kati yao walikuwa ni watalii.