Programu ya kompyuta ya matrekta inavyowasaidia wakulima Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni ya John Deere yabuni programu ya kompyuta inayowasaidia wakulima Kenya kununua trekta na kujua trekta ilipo na inafanya kazi ya kulima kwa kiwango gani, ikiwemo matumizi ya mafuta.