Profesa Wajackoyah wa Kenya aeleza mkakati wake wa kuwawezesha walioko ughaibuni kupiga kura
Your browser doesn’t support HTML5
Profesa George Wajackoyah kutoka Kenya afafanua juu ya haki ya msingi ya kikatiba ya raia walioko ughaibuni kupiga kura katika uchaguzi wa 2022.