Baba mtakatifu asherehekea ibada Nairobi , kenya

Wakatoliki nchini kenya wakisubiri kwenye mvua kushiriki ibara takatifu itakayoongozwa na baba mtakatifu.

Baba mtakatifu akiondopka baada ya kusherehekea ibada katika chuo kikuu cha Nairobi.

Wakatoliki nchini Kenya wakipokea ekaristi takatifu wakati wa ibada iliyoongozwa na Papa Fransis

Picha zaidi ya watu wakisubiri ibada ya Papa Francis mjini Nairobi

Waumini wa kujitolea wanawakaribisha makasisi na Mabishop kwenye ibada ya kikatoliki mjini Nairobi.