Polisi wawatawanya waandamanaji nchini Iraq, 86 wapoteza maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Iraq wamerusha mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji wanaopinga serikali katika uwanja wa Tahrir Square katikati ya mji wa Baghdad, Jumanne, Octoba 29.
Wimbi la maandamano lililoikumba Baghdad na meneo mengine ya miji ya Iraqi yamesababisha vifo vya watu 86 siku ya Ijumaa