Polisi wawatawanya waandamanaji Afrika Kusini wakilaani ubaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wa Afrika Kusini watumia gesi na maji kuwatawanywa waandamanaji wa chama cha upinzani wakipinga shule inayoendeleza ubaguzi wa rangi.
- Sudan na Misri zafanya mazoezi ya kijeshi ya pamoja pande zote zikisisitiza umuhimu wa ushirikiano huo.