Polisi wamfuatilia mshukiwa wa shambulizi katika kituo cha treni New York
Your browser doesn’t support HTML5
Polisi wanamtafuta Frank R. James mtu mwenye ushawishi wakisema kuwa alikodi gari aina ya Van pengine inawezekana alihusika na shambulizi la bunduki katika kituo cha treni huko Brooklyn, New York, Marekani.