Polisi walaumiwa kwa kutumia nguvu za ziada kukabiliana na waandamanaji

Your browser doesn’t support HTML5

Uzinduzi wa kitabu kinacho angalia namna polisi wanavyotumia nguvu za ziada kuzima maandamano.
Lakini Polisi wanadai kuwa bila ya kutumika nguvu harakati nyingi nchini Kenya zingesimama kutokana na vurugu zinazotokana na maandamano.