Polisi walaumiwa kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi

Your browser doesn’t support HTML5

Maandamano yazuka mji wa Minneapolis baada ya kifo cha Mmarekani mweusi aliyekandamizwa shigo yake chini na goti la polisi na kushindwa kupumua.