Polisi waendesha operesheni maalum mjini Kinshasa
Your browser doesn’t support HTML5
Wafanyakazi wa kikosi cha polisi cha usafi mjini Kinshasa wakisaidiwa na tingatinga walianza operesheni ya kubomoa vibanda mjini humo. Ungana na mwandishi wetu anayekuletea sababu zilizopelekea mamlaka husika kuendesha operesheni hiyo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.