Polisi wa Nigeria wawasili Somalia kuimarisha ulinzi

Your browser doesn’t support HTML5

Mratibu wa kazi za kikosi cha Polisi cha Umoja wa Afrika, Somalia, AMISOM, Daniel Ali Gwambal amesema Jumatatu kundi la maafisa wa polisi 144 kutoka Nigeria wamewasili Somalia ili kuimarisha juhudi za kuleta uthabiti katika taifa hilo la Pembe ya Afrika.