Polisi wa kutuliza ghasia wapelekwa kuliondoa genge la wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wafuasi wa Rais wa zamani wa Brazil wa mrengo mkali wa kulia Bolsonaro ambao waliweka kambi karibu na jeshi mjini Brasilia walionekana wakiingia katika mabasi baada ya polisi wa kutuliza ghasia kuvamia eneo hilo.

Endelea kusikiliza taarifa kamili ya uasi huo ambao magenge hayo yalifanya ghasia na uvamizi wa maeneo ya serikali ya Brazil. Sikiliza repoti kamili