Polisi Thailand wawatawanya waandamanaji wanaoipinga serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Bunge la Thailand likijiandaa kujadili marekebisho ya katiba yaliofikishwa na serikali zoezi hilo limeendelea kuchochea maandamano nchini humo huku polisi wakiwatawanya waandamanaji mitaani.