Polisi Sweden waendelea kukabiliana na wanaharakati wanaopinga Uislam

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wameendelea kukabiliana na wanaharakati wanaopinga Uislam wakati maandamano yaliyozua ghasia yakiendelea kwa siku ya saba nchini Sweden.