Polisi Sudan 'wamvunjia' heshima mwanaharakati

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanaharakati mwanamke Sudan aeleza jinsi polisi walivyokuja kumkamata wakati akiwa bafuni huku wakikaidi ombi la mama yake wamuachie avae nguo kabla ya kumchukua.