Polisi Marekani wakabiliana na waandamanaji wanaopinga mauaji ya Wright

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wapambana tena na waandamanaji kuzuia maandamano yanayo pinga kifo cha Mmarekani Mweusi, Daunte Wright, huko Brooklyn Center, Minnesota, Marekani
- Baadhi ya majimbo yanafuata uamuzi wa kusitisha chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa na kampuni ya John & Johnson.

- Umoja wa Afrika wataraji kufungua vituo vitano vya utengenezaji wa chanjo katika kipindi cha miaka 15 ijayo.