Polisi Mahore wabomoa mabanda ya wahamiaji

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Polisi katika Kisiwa cha Mahore kinacho tawaliwa na Ufaransa wanabomoa mabanda ya makazi ya wahamiaji hususan wale kutoka Comoro mfululizo kwa siku ya nne.