Polisi DRC yaendelea kuwakamata wanaharakati wa LUCHA

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wamezuia maandamano na kuendelea kuwakamata wapinzani na wanaharakati wa LUCHA.