Polisi DRC wawatawanya waandamanaji kwa risasi za moto

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji wanaotaka Tume ya Umoja wa Mataifa ya Kulinda amani, Monusco, iondoke.