Peru : Juhudi za kumuokoa mbwa aliyetoroka

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya maafisa wa Usalama katika wilaya ya Surco mjini Lima, nchini Peru, wamefunga barabara kumuokoa mbwa aliyekuwa ametoroka jina lake "Muchi”.