Park and Vibe inavyotamba Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Maambukizi ya Covid 19 Duniani yamebadili mifumo ya maisha na jinsi sekta nyingi zinavyoendeleshwa.Hii imelazimu binadamu kubadili jinsi wanavyohusiana na kuendesha shughuli zao japo wanahakikisha wamejifurahisha .