Ouko aeleza mabadiliko jela yalivyoleta mafanikio

Your browser doesn’t support HTML5

Peter Ouko aeleza jinsi alivyoweza kufikia mafanikio kwa kutokata tamaa wakati akiwa gerezani huku changamoto alizopitia zilimpa imani kuwa nuru ya matumaini itamwangazia baada ya mageuzi kufanyika katika jela za Kenya.