Omicron yasababisha ongezeko jipya la COVID-19 Afrika Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Virusi vya Omicron vyasababisha ongezeko la maambukizi mapya ya COVID-19 Afrika Kusini.
UN yasema watu milioni 274 wanahitaji msaada wa chakula.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari