Omicron yaongeza kasi ya maambukizi ya COVID-19 Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Maambukizi mapya ya COVID -19 yameongezeka kwa kasi nchini Marekani na kufikia kiwango cha juu zaidi hasa kutokana na aina mpya ya virusi vya Omicron.