Matukio ya Dunia Ogier aweka rekodi ya mashindano ya mbio za magari Kenya 28 Juni, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Sébastien Ogier ashinda kwa mara ya nne katika mashindano ya mbio za magari ya Dunia (WRC) yaliyofanyika Kenya.