Obama aaga rasmi wamarekani na dunia wiki hii.

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii Rais Barack Obama wa Marekani aliaga rasmi wamarekani wote na dunia nzima akiwa na siku chache kabla ya kuondoka madarakani. Nini utakumbuka kuhusu Obama? tunaangalia mambo makubwa aliyofanya akiwa madarakani.