Nyota wa Ligi ya NBA asaidia watoto Jimbo la Ohio

Your browser doesn’t support HTML5

Mchezaji nyota wa NBA Marekani afungua shule ya msingi katika mji aliyozaliwa kusaidia watoto wenye hali ya chini katika Jimbo la Ohio